LHRC yataka uchunguzi mauaji Dodoma

Dodoma. Kufuatia mauaji ya watu watatu wakiwamo watoto wawili wa familia moja, yaliyotokea usiku wa kuamkia jana Jumatatu ya Septemba 16, 2024, Kata ya Nala jijini Dodoma, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimelaani tukio hilo na kutaka vyombo vya ulinzi na usalama kubaini chanzo cha mauaji hayo. Watoto hao miili yao inadaiwa…

Read More

Milio ya risasi yasikika katika mji mkuu wa Mali

  Milio ya risasi imesikika katika mji mkuu wa Mali, Bamako na kusababisha ripoti kwamba kambi moja ya usalama imeshambuliwa. Inaripoti BBC, Bamako, Mali Video kwenye mitandao ya kijamii zinaonyesha moshi ukipaa kutoka sehemu ya jiji, huku baadhi wakieleza kuwa moshi huo huenda unatoka katika kituo cha polisi au cha kijeshi. Vyanzo vya usalama viliambia…

Read More

Mpole apewa kazi ya kuimaliza Singida Black Stars

KOCHA wa Pamba Jiji, Goran Kopunovic ameonyesha kuwa na matumaini na safu ya ushambuliaji inayongozwa na George Mpole licha ya kutofunga katika michezo mitatu iliyopita ya Ligi Kuu Bara. Mserbia huyo anaamini safu hiyo inaweza kuonyesha makucha leo Jumanne kwenye uwanja wa nyumbani wa CCM Kirumba, Mwanza itakapoikaribisha Singida Black Stars inayoongoza msimamo wa Ligi…

Read More

TAMASHA LA UTAMADUNI KUFUNGUA FURSA LUKUKI RUVUMA

  Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro,akizungumza kuhusu Tamasha la tatu la utamaduni kitaifa litakaloanza  Septemba 20-23, mwaka huu na siku ya kilele kitafanyika uwanja wa majimaji na Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa mgeni rasmi. Wananchi  wakiwa kwenye kaburi la Chifu wa Wangoni Nkusi Mharule Bin Zulu Gama wakihiji kama sehemu ya kuendeleza…

Read More

Mwanamke ajitosa ubosi kamati ya Olimpiki

  Wagombea saba akiwamo mwanamke kutoka Afrika, wamejitosa katika kinyang’anyiro cha kukalia kiti cha rais wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki, (OIC), nafasi inayotajwa kuwa bora zaidi katika ulimwengu wa michezo. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa … (endelea). OIC imetangaza majina ya wagombea hao jana Jumatatu na uchaguzi wa kura ya siri utafanyika Machi mwakani. Atakayeibuka…

Read More

Fahamu mambo ya kuzingatia, kuepuka unapokuwa mgonjwa

Dar es Salaam. Septemba 17 ya kila mwaka ni maadhimisho ya Siku ya Usalama wa Mgonjwa Duniani. Lengo la ni kuzingatia usalama wa mgonjwa kwa kuanzisha na kuimarisha mifumo inayotegemea sayansi, kuboresha usalama wa wagonjwa na ubora wa huduma za afya. Maazimio ya Mkutano wa Mkuu wa 72 wa Afya Duniani (WHA72.6)  uliofanyika mwaka 2019,…

Read More