ASKOFU MKUU MARK HERVALAND ASEMA KANISA LAO LIKO TAYARI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI KUTATUA CHANGAMOTO

Na Mwandishi Wetu Mhashamu Askofu Mkuu  wa Anglikan Catholic church Duniani Mark Hervland ameimbia serikali kuwa Kanisa liko tayari kushirikiana nayo katika kutatua changamoto mbalimbali za huduma za jamii zinazo wakabili Wananchi hasa ujenzi wa Miundombinu ya maji sehemu za Vijijini ili wapete maji safi na tiririka Mhasham Askofu Harvland amayasema hayo kijijini Mlali wilayani…

Read More

Fei Toto amtaka tena Aziz Ki

KIUNGO Mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’ amesema anatamani bato yake na Stephane Aziz Ki liendelee tena msimu huu kwani inamuongezea ubora kutokana na kumfuatilia mpinzani wake kwa kujifunza vitu. Wawili hao msimu uliopita walikuwa wanawania kiatu cha ufungaji bora hadi mechi ya mwisho ya msimu ambapo Aziz Ki aliibuka mfungaji bora baada…

Read More

TFS waanza kuzima moto za milima Uluguru

Safu za Milima ya Uluguru ikiteketea Kwa moto Kwa zaidi ya siku Saba tangu septemba 10 mwaka huu huku chanzo kikitajwa kuwa ni wakulima na wawindaji kuchoma mashamba kwa ajili ya maandalizi ya Kilimo pamoja Imani potofu Kwa wananchi kuwa akichoma moto ukienea eneo kubwa siku zake za kuishi bado ni nyingi. Mhifadhi mkuu hifadhi…

Read More

Fadlu afichua mipango ya wapinzani, amtaja Ateba

SIMBA imewashtukia Waarabu kutokana na kuizuia kupata bao lolote, kisha wenyewe kuzipiga uwanjani na kocha wa Wekundu hao, Fadlu Davids akasisitiza anataka ushindi wa kishindo nyumbani. Hiyo ilikuwa juzi katika mchezo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika uliochezwa nchini Libya ambapo ulipomalizika vurugu kubwa zilizuka za mashabiki huku wachezaji wakimzonga mwamuzi. Jumapili, wiki hii,…

Read More

Kamati Chadema yaanza kikao, watia nia roho juu

Dar es Salaam. Jopo la wajumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wameanza kikao cha kujadili mambo mawili ikiwamo kupokea taarifa ya hali ya usalama nchini. Jambo lingine, linalotarajiwa kuangaziwa ni kufanya usaili na kuteua wagombea wa nafasi mbalimbali ikiwamo uenyekiti kutoka kanda za Pwani, Kusini na Pemba. Kikao hicho kinafanyika…

Read More

Malindi haishikiki Zenji, Kibadeni apiga Hat Trick

MABINGWA wa zamani wa Zanzibar, Malindi imeendelea kuonyesha dhamira ya kubeba ubingwa wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) msimu huu, baada ya jana kuwanyooshaa wageni wa ligi hiyo, Inter Zanzibar kwa mabao 4-0 katika mechi kali iliyopigwa Uwanja wa Annex B, mjini Unguja. Ushindi huo ni wa pili mfululizo kwa Malindi na kuifanya ikwee kileleni mwa…

Read More