Wangoni na siri ya kutumia majina ya wanyama
Wangoni hawaishiwi na mambo. Kabila hilo wenyeji wa Mkoa wa Ruvuma, achilia mbali umaarufu wao wa ushujaa vitani, wana simulizi ya kuvutia. Ni simulizi ya asili ya majina ya jadi ya kabila hilo linalotajwa kuingia Ruvuma miaka ya mwishoni mwa 1930 likitokea kwenye chimbuko la Wanguni na Wazulu nchini Afrika Kusini. Kwa Wangoni, sio jambo…