Uchimbaji madini ya kinywe waiva Mhenge, Sh790 bilioni kutumika
Dar es Salaam. Hatimaye mchakato wa kuchimbwa madini ya kinywe yanayotumika kutengeneza betri umefikia pazuri, baada ya Sh790 bilioni kupatikana kwa ajili ya utekelezaji wa kazi hiyo katika awamu ya kwanza ya mradi. Hatua hiyo imefikiwa baada ya kukamilika kwa utiaji saini makubaliano ya kuanza mradi kati ya Benki ya CRDB, Kampuni ya Faru Graphite…