
Waziri Silaa Awasisitiza Waumini Kujiandikisha Kupiga Kura
WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe.Jerry Silaa amewataka viongozi wa kanisa kuwaasa waumini wao kutenga muda wa kujiandikisha katika daftari la wapiga kura ili wapate nafasi ya kushiriki kuchagua viongozi kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Agizo hilo amelitoa leo Septemba 30,2024 katika harambee ya ujenzi wa kanisa la KKT Kigezi-Chanika Jijini…