Wajasiriamali wadogowadogo kuendelea kulamba fursa za DCB
Dar es Salaam. Wajasiriamali wadogo wadogo nchini wamehakikishiwa kuendelea kupatiwa ufumbuzi wa tatizo la mitaji ya kibiashara katika kuingiza sokoni bidhaa zao zenye ubunifu kwa kutumia teknolojia ya kisasa ili kukidhi mageuzi ya sayansi na teknolojia. Hakikisho hilo, limetolewa na Benki ya Kibiashara ya DCB, wakati wa Mkutano Mkuu wa 22 wa Mwaka wa Wanahisa…