Nasredine Nabi atoa ushauri wa bure Azam FC
KOCHA wa Kaizer Chiefs, Nasredine Nabi amewatuliza mashabiki na mabosi wa Azam kwa kuwaambia wampe muda kocha mpya kwani ana kitu atawafikisha mbali. Nabi ameyasema hayo baada ya kocha mpya wa Azam, Rachid Taoussi kuanza na suluhu katika mchezo wa kwanza wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Pamba Jiji uliochezwa Jumamosi iliyopita kwenye Uwanja wa…