UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA WAIVA : VIJIJI 12,333, VITONGOJI 64,274, MITAA 4,269 KUHUSIKA
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Mohamed Mchengerwa ametangaza jumla ya Vijiji 12,333, Mitaa 4,269 na Vitongoji 64,274 kuwa vitashiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha Jumatatu Septemba 16, 2024 kwenye Ukumbi wa mikutano wa Ofisi…