Benki ya NBC Yashiriki Mbio za Ruangwa Marathon, Yasisitiza Dhamira yake Kuchochea Ukuaji sekta ya Michezo Nchini.
Benki ya Taifa ya Biashara NBC imeshiriki msimu wa pili wa mbio za Ruangwa Marathon 2024 huku ikisisitiza dhamira yake ya kuendelea kuunga mkono jitihada mbalimbali za wadau wa michezo nchini kupitia ushiriki, ufadhili, ubunifu na utoaji wa huduma mbalimbali zikiwemo za kifedha mahususi kwa wadau wa sekta hiyo. Dhamira ya benki hiyo ni sehemu…