CBE yaja na mkakati wa ubia PPP ujenzi wa mabweni

  CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE) kwa kushirikiana na Kituo cha Ubia wa Sekta za Umma na Binafsi (PPP) wanatatarajia kujenga mabweni ya wanafunzi kwa ubia utakaogharimu Sh. 20.7 bilioni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Hayo yalisemwa mwishoni mwa wiki na Mkuu wa chuo hicho, Profesa Edda Lwoga, wakati akizungumza na…

Read More

Ujerumani yatanua ukaguzi mipakani kudhibiti wahamiaji – DW – 16.09.2024

Ujerumani ilitangaza hatua hiyo ya kutanuliwa ukaguzi katika mipaka yake kufuatia misururu ya mashambulizi ya itikadi kali, yanayodaiwa kufanywa na wageni, yaliyoongeza hofu nchini humo na kuongeza umaarufu wa chama cha siasa kali za mrengo wa kulia, kinachopinga wageni cha AFD. Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ujerumani Nancy Faeser awali alisema hatua hiyo inayopangwa kufanyika kwa…

Read More

Wenye mabasi waja na mikakati mipya kukabili treni ya SGR

Dar es Salaam. Kutokana na kuongezeka kwa mwamko wa abiria kutumia usafiri wa treni ya umeme (SGR), wamiliki wa mabasi nchini Tanzania wamekuja na mikakati mipya kuhakikisha wanaendelea kuwa sokoni bila biashara zao kuathirika. Tangu kuanza kwa usafiri huo, wamiliki wa mabasi wamekuwa wakilalamikia changamoto katika soko na tayari wengine wameanzisha safari mpya katika njia…

Read More

Wakazi wa Kariakoo Wazindua Mradi Kigamboni

Na Mwandishi Wetu UMOJA wa wakazi wa Kariakoo wamezindua mradi wao wa maendeleo katika Manispaa ya Kigamboni jijini Dar es Salaam. Wakazi hao kupitia taasisi yao iitwayo Kariakoo Development Family Foundation, wamezindua mradi huo uliopo mtaa wa Vumilia Ukooni, kata ya Kisarawe I|, wenye lengo la kufuga kuku pamoja na bwala la samaki. Akizungumza wakati…

Read More

Haki, wajibu wa mpiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa

Dar es Salaam. Uchaguzi wa serikali za mitaa ni miongoni mwa muhimili muhimu wa demokrasia inayowezesha ushiriki wa wananchi katika uongozi wa maeneo yao. Uchaguzi huu unatoa nafasi kwa wananchi kuwachagua viongozi wanaowaamini ili kuleta maendeleo na kuboresha huduma za kijamii katika ngazi za mitaa. Hata hivyo, kwa mpiga kura kushiriki kikamilifu katika mchakato huu…

Read More

WANANCHI WA KATA YA LITUMBANDYOSI MBINGA WAISHUKURU SERIKALI KUWAJENGEA KITUO CHA AFYA

 Baadhi ya majengo ya kutolea huduma za afya katika kituo cha afya Litumbandyosi kata ya Litumbandyosi Halmashauri ya wilaya Mbinga mkoani Ruvuma ambayo ujenzi wake umegharimu zaidi ya Sh.milioni 500 kutoka mapato ya ndani ya Halmashauri hiyo. Afisa Muuguzi wa kituo cha afya Litumbandyosi Halmashauri ya wilaya Mbinga mkoani Ruvuma Songela Songela kulia,akimuonyesha Mganga Mkuu…

Read More

MAPOKEZI YA WAWEKEZAJI

Afisa Uwekezaji na Msimamizi wa dawati la Mashariki ya kati wa kituo cha Uwekezaji Tanzania(TIC)Juma Nzima (kushoto) akisalimiana na ugeni kutoka kampuni ya Al-Sobat Group yenye lengo la kuwekeza katika mafuta na Gesi, Madini, majengo na kilimo kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya GSG Energies, Ismael Elazhari(kulia) Wakati walipowapokea wageni wa Kampuni ya Al-Sobat…

Read More

Pascal William bosi mpya Mainstream Media Ltd

  KAMPUNI ya Mainstream Media imeteua Pascal William kuwa Mkurugenzi wake mpya wa Mauzo na Usambazaji, kuanzia tarehe 10 Septemba 2024. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Uteuzi huo umetajwa kuwa umetokana na rekodi nzuri ya William kwa kuwa kiongozi mwenye mikakati katika mauzo na usambazaji. Akitangaza uteuzi wake, Mwenyekiti wa bodi ya…

Read More