Benki ya CRDB yafanikisha uwekezaji wa mradi wa zaidi ya Bilioni 790 kwenye uchimbaji wa madini ya grafiti Tanzania
“Benki ya CRDB tumejikita sana katika kusaidia miradi ya kimkakati inayochochea maendeleo endelevu na kuleta matokeo chanya yanayodumu. Ushiriki wetu katika Mradi wa Grafiti wa Mahenge unaonyesha imani yetu isiyoyumba katika fursa na uwezo wa Tanzania na Afrika kwa ujumla. Kwa kushirikiana na taasisi kubwa katika masoko mbalimbali, tunachokifanya katika mradi huu ni kuwa…