Ushetu watoa maua yao kwa Bashe kwa kuishi kwa vitendo maono ya Rais
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Wananchi wa Halmashauri ya Ushetu na Wilaya ya Kahama wamemlaki kwa maelfu na shangwe za kishindo Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe (Mb) na kujivunia kuwa wao ni wakulima na wako tayari kuendelea kutafsiri maono ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Akimkaribisha Waziri Bashe kuhutubia Mkutano wa hadhara Septemba 15, 2024…