
Wakati umefika kwa Afrika kubadilika kwa kutumia nishati safi ya kupikia -Rais Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema sasa ni wakati wa Bara la Afrika kubadilika kwa kutumia Nishati Safi ya Kupikia ili kutoathiri afya na mazingira kutokana na matumizi ya nishati zisizo safi kama kuni na mkaa. Dkt. Samia ameyasema hayo leo Septemba 27, 2024 wakati akizindua Shule ya…