MAJADILIANO YA AWALI UTEKELEZAJI MAKUBALIANO YA MASHIRIKIANO BAINA YA GST NA GTK YAANZA RASMI
● *Dar es Salaaam* Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Ndg. Msafiri Mbibo ameongoza kikao cha majadiliano ya awali kwa ajili ya utekelezaji wa makubaliano ya mashirikiano (MoU) baina ya Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Miamba ya Finland (GTK) na Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) yaliyofanyika katika Ofisi Ndogo za…