Bashe: Skimu ya Mzee Shija itanusfaisha wakulima wa Kahama
Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe (Mb) amefanya ziara ya kikazi Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga Septemba 15, 2024 ambapo ametrmbelea mradi wa bwawa la umwagiliaji lililopo katika kijiji cha Malenge, Kata ya Isagehe lenye ukubwa wa mita za ujazo wa 600,000 kwa thamani ya Sh bilioni 2.5. Bwawa litakuwa na mifereji mikuu na midogo ya…