Tusua kivingine na Meridianbet siku ya leo

  LEO hii mechi kibao kutoka kwenye mataifa mbalimbali zinaendelea ambapo tayari wakali wa ODDS KUBWA Tanzania Meridianbet wameshakuwekea machaguo uyapendayo ingia na ubashiri sasa. Tukianza na ligi kuu ya Uingereza, EPL kutakuwa na mechi mbili kali huku mechi ya kwanza itakuwa ni London Derby yaani Tottenham Hot Spurs dhidi ya Arsenal majira ya saa…

Read More

MSIGWA AIPONGEZA TBS KWA KUHAMASISHA MICHEZO MAENEO YA KAZI

NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM KATIBU Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amezitaka taasisi mbalimbali za serikali kushiriki na kufanya mabonanza ya michezo ambapo itasaidia kuimarisha afya za wafanyakazi na kuleta manufaa kwa taifa kwa kuongeza idadi ya wachezaji na wawakilishi katika mashindano ya kimataifa. Rai hiyo imetolewa Septemba14,2024 Jijini Dar…

Read More

Lunyamila aletewa mtu Mexico | Mwanaspoti

KLABU ya Mazaltan FC inayoshiriki Ligi ya wanawake nchini Mexico, imemtambulisha mshambuliaji raia wa Congo mwenye asili ya Canada, Olga Massombo. Mshambuliaji huyo amesajiliwa akitokea Gdansk W ya Poland ambako alicheza mechi 21 na kufunga mabao matano. Inaelezwa Massombo amesajiliwa kuja kuleta ushindani eneo la ushambuliaji ambalo anacheza Mtanzania Enekia Lunyamila aliyetambulishwa hivi karibuni kikosini…

Read More

Winga Mtanzania nje wiki moja Thailand

WINGA Mtanzania anayeichezea Hua Hin City FC inayoshiriki Ligi Daraja la Pili Thailand, John Mgong’os amesema atakuwa nje ya uwanja kwa wiki akiuguza jeraha la paja. Nyota huyo alicheza kwa dakika zote 90 dhidi ya Hua Hin Maraleina ambapo timu yake ilifungwa bao 1-0 Septemba 08 ikiwa ni raundi za awali za michuano hiyo maarufu…

Read More

Wananchi Ntobeye waonywa kujichukulia sheria mkononi

  WANANCHI wa kata ya Ntobeye Wilaya ya Ngara Mkoa wa Kagera wameonywa na Jeshi la Polisi kujichukulia sheria mkoani na kufanya mauaji ya watu kwa imani za kishirikina wilayani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kagera … (endelea). Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Polisi Wilaya ya Ngara Mrakibu wa Polisi, SP William Solla wakati akiongea…

Read More