Simba sasa ndo mtaijua | Mwanaspoti
SIMBA inacheza mechi ya kwanza katika michuano Kombe la Shirikisho Afrika msimu huu ikiwa ugenini dhidi ya Al Ahli Tripoli leo na hakika sasa ndio mtawajua Wekundu wa Msimbazi. Al Ahli ni klabu ya pili kwa mafanikio katika historia ya soka la Libya nyuma ya Al-Ittihad, ikishinda mataji 13 ya Ligi Kuu ya Libya, mataji…