UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UHOLANZI WATIA FORA TAMASHA LA MABALOZI MJINI THE HAGUE
Balozi wa Tanzania nchini Uholanzi Mhe. Caroline Kitana Chipeta akipongezwa na Meya wa Mji wa The Hague kwa Tanzania kuwa kivutio kikubwa kwenye Tamasha la Mabalozi 2024 (Embassy Festival) nchini Uholanzi lililovutia watazamaji zaidi ya 50,000 mjini The Hague. Balozi wa Tanzania nchini Uholanzi Mhe. Caroline Kitana Chipeta akiwa kavalia mavazi ya asili ya mwanamke wa kimwambao kwenye…