Kamati ya bunge yaimwagia sifa wizara ya maji kwa kazi nzuri Dar es Salaam
Kamati ya Kudumu Bunge Maji na Mazingira imetembelea na kukagua utekelezaji wa miradi ya uboreshaji wa Usafi wa Mazingira katika Mikoa ya Dar es Salaam na Pwani inayotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) na kuridhika na kasi ya utekelezaji wake. Akizungumza mara baada ya kutembelea utekelezaji wa miradi…