Dube atupia Yanga ikivunja mwiko Ethiopia
BAO moja lililofungwa na Prince Dube dakika 45 kipindi cha kwanza dhidi ya CBE SA ya Ethiopia limetosha kuitanguliza Yanga mguu mmoja mbele katika hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika, huku ikivunja mwiko wa kutiopata ushindi katika ardhi ya nchi hiyo katika michuano ya CAF. Ikicheza kwenye Uwanja wa Abebe Bikila, jijini Addis Ababa,…