
Israel yamuua kamanda mwingine wa kundi la Hezbollah – DW – 29.09.2024
Taarifa ya jeshi hilo limemtaja Kaouk kuwa kamanda wa kikosi cha kuzuia mashambulizi wa kundi la Hezbollah na alikuwa mjumbe wa Baraza la Uongozi la kundi hilo. Israel imesema ameuawa kwenye shambulizi mahsusi lakini taarifa ya jeshi haikueleza wapi limetokea. Tel Aviv inamtuhumu Kaouk kuhusiana na mashambulizi ya kigaidi dhidi ya Israel tangu alipojiunga na…