KenGold bado haijakata tamaa | Mwanaspoti

LICHA ya kudondosha pointi sita katika mechi mbili za mwanzo za Ligi Kuu Bara inayoicheza kwa mara ya kwanza, kocha mkuu wa KenGold, Fikiri Elias amesema bado ana imani ya timu hiyo kufanya vizuri kadri inavyozidi kuizoea ligi. Wageni hao wa Ligi Kuu kutoka jijini Mbeya, kesho Jumatatu watavaana na KMC na kocha Elias alisema…

Read More

MEJA JENERALI MABELE:VIJANA NDIO WALINZI WA NCHI HII

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Rajabu Mabele amewataka Vijana wa Jeshi la Kujenga Taifa kuilinda nchi yao na wawe tayari kufa kwaajili ya nchi yao pindi itakapo wahitaji kwani sasa wao ni Jeshi la akiba la Taifa. Meja Jenerali Mabele ameyasema hayo alipokuwa akifunga mafunzo ya Vijana wa Mujibu wa Sheria Operesheni…

Read More

Dabi ya Dodoma ardhi ya ugenini

UMESHAWAHI kushuhudia mchezo wa dabi ukipigwa katika ardhi ya ugenini? Basi leo ndiyo itatokea hivyo pale Dimba la Tanzanite Kwaraa lililopo Manyara pindi Fountain Gate inayonolewa na kocha Mohamed Muya ikiikaribisha Dodoma Jiji ya Mecky Maxime. Kama inavyofahamika mchezo wa dabi huwa baina ya timu zinazotokea eneo moja la mji, hivyo mchezo huu wa leo…

Read More

WAKAANGA SAMAKI FERI WATAKIWA KUZINGATIA ULINZI WA TANKI KUBWA LA GESI MRADI UKIKAMILIKA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Na Mwandishi Wetu WAKAANGA Samaki wa Soko la Kimataifa la Samaki Feri Jijini Dar es Salaam wamesisitizwa kuweka ulinzi pindi mradi wa ujenzi wa tanki kubwa la kisasa la gesi utakapokamilika ili uweze kuwasaidia kuondokana na changamoto ya gesi ya kupikia. Akizungumza leo Septemba 14,2024 jijini Dar es Salaam wakati wa kuutambulisha mradi huo wa…

Read More

Bao lampa mzuka Ngushi Mashujaa

NYOTA wa zamani wa Yanga na Coastal Union, anayekipiga kwa sasa Mashujaa, Crispin Ngushi juzi alifunga bao pekee lililoizamisha Coastal Union nyumbani na kuipa timu hiyo ushindi wa pili kitu alichodai kimempa mzuka akisisitiza kwa msimu huu kila mechi kwake ni fainali ili atimize lengo kurudi timu kubwa. Ngushi, aliyesajiliwa na Mashujaa katika dirisha lililopita,…

Read More

Rais mstaafu Botswana aburuzwa kizimbani

  RAIS wa zamani wa Botswana, Ian Khama amerejea nchini bila kutarajiwa baada ya miaka mitatu ya kukaa uhamishoni, na kufikishwa mahakamani kujibu mashtaka yakiwemo ya kutakatisha fedha na kumiliki silaha kinyume cha sheria. GABORONE, Botswana. Mzee huyo mwenye umri wa miaka 71 alikuwa amedai hivi majuzi kulikuwa na njama ya kumtilia sumu ikiwa angekanyaga…

Read More

Penzi lilivyosababisha mauaji ya mke, mume jela miaka minane

Dar es Salaam. Waswahili husema ‘mapenzi yanaua.’ Msemo huu unaweza kueleza tukio la Erick Buberwa kumuua mkewe bila kukusudia, baada ya kutokea ugomvi uliosababishwa na kunyimwa haki ya ndoa. Hii ni baada ya Erick, wakiwa chumbani na mkewe Mercy Mukandala, kumuomba mkewe tendo la ndoa akakataa, akamwambia yeye (Mercy) ana mwanamume mwingine anayempenda zaidi yake…

Read More