MaguRi, Makapu kuliamsha upya Biashara United
NYOTA wa zamani wa Simba na Yanga, Elias Maguri na Said Juma ‘Makapu’ ni miongoni mwa wachezaji wapya walioongeza mzuka ndani ya kikosi cha Biashara United kilichopo Ligi ya Championship inayoanza mwishoni mwa mwezi huu. Nyota hao msimu uliopita walicheza katika timu za Ligi Kuu, Maguri akiwa Geita Gold iliyoshuka daraja, wakati Makapu alikuwa Mashujaa…