Kilio cha haki za watoto chapelekwa kwa Bunge
Dar es Salaam. Wadau wa kutetea haki za watoto nchini wametoa wito kwa Bunge kufanya mapitio ya Sheria ya Kanuni ya Adhabu kuwezesha kufutwa dhamana kwa makosa yote ya ubakaji na ulawiti kwa watoto. Wito huo umetolewa leo Septemba 14, 2024 jijini Dar es Salaam katika matembezi ya amani yaliyofanywa na wadau hao yakilenga kudai…