MBUNGE BONNAH ATEKELEZA AHADI UJENZI BARABARA MADARAJA JIMBO LA SEGEREA
MBUNGE wa Jimbo la Segerea, Wilayani Ilala, jijini Dar es Salaam, Bonnah Kamoli, ameendelea na utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa barabara na madaraja alivyo ahidi na kuwataka wakandarasi kumaliza ujenzi kwa wakati. Miradi hiyo ni Barabara ya Rozana – Sukita Lata ya Buguruni yenye urefu wa meta 500 ambayo ujenzi wake utagharimu sh. milioni…