Benki Ya Exim Yahitimisha kampeni ya “Tap Tap Utoboe’’ kwa mafanikio, yatangaza washindi watatu wa zawadi ya Gari, Bajaj, na Pikipiki.
Benki ya Exim Tanzania imehitimisha rasmi kwa mafanikio kampeni yake ya Kidijitali ya miezi mitatu iliyojulikana kama Tap Tap Utoboe, huku ikitangaza washindi wa droo kuu ya mwisho, waliojishindia zawadi ambazo ni gari jipya aina ya Mazda CX-5 kwa mshindi wa kwanza, Bajaj aina ya TVS kwa mshindi wa pili , na pikipiki aina ya…