Utalii wa Halal kuitangaza Zanzibar, kupanua wigo wa soko
Unguja. Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale kupitia Kamisheni ya Utalii imeratibu maonyesho ya utalii wa Halal yanayotarajia kufanyika Oktoba 13, 2024. Utalii huu ambao unahusisha zaidi masuala ya kuheshimu maadili na utamaduni licha ya kwamba unafanyika katika mataifa mengine, kwa Zanzibar ni mara ya kwanza ikiwa ni sehemu ya kupanua wigo wa utalii….