Tozo saba zapunguzwa mnada wa korosho ukikaribia kuanza

Mtwara. Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Korosho Tanzania, Francis Alfred ametangaza kuanza kwa minada ya korosho ghafi nchini ifikapo Oktoba 11, 2024. Alfred amebainisha hayo leo Septemba 13, 2024 mbele ya Naibu Katibu Mkuu wa Kilimo anayeshughulikia Ushirika na Umwagiliaji, Seleman Serera mkoani Mtwara wakati wa kikao cha kujadili mfumo wa ununuazi wa korosho. Amesema…

Read More

Patrick Aussems aanza kunogewa Bara

LICHA ya kuwa na mwanzo mzuri katika Ligi Kuu Bara, Singida Black Stars wanajua bado wana kazi kubwa mbele yao. Kocha wa timu hiyo, Patrick Aussems amesema licha ya kupata pointi tisa katika michezo mitatu iliyopita, anahitaji kuhakikisha kikosi chake kinakuwa bora zaidi. Katika michezo mitatu iliyopita, Singida Black Stars ilivuna pointi sita ugenini baada…

Read More

Bashe na Mpina: Maendeleo kwanza, siasa pembeni

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital “Wananchi wa Kisesa tunaenda kuandika historia kubwa kwenye nchi yetu, tupo kwenye mkutano huu pamoja kwa ajili ya maendeleo. Waziri Hussein Bashe Unakaribishwa sana katika Jimbo langu la Kisesa,” amesema Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina. Mhe. Hussein Bashe (Mb), Waziri wa Kilimo ameendelea na ziara yake mkoani Simiyu leo Septemba…

Read More

Serikali yapata somo la mazingira shule za Aga Khan

Dar es Salaam. Walimu wa shule za awali, msingi na sekondari nchini Tanzania watapata mafunzo maalumu kuhusu utunzaji wa mazingira na mabadiliko ya tabianchi katika masomo yao ya darasani. Hii ni sehemu ya maboresho ya mitaala ya mwaka 2023 yenye lengo la kuingiza masuala haya kwenye mitalaa ya shule. Hayo yameelezwa katika maonyesho ya programu…

Read More

TFF, waamuzi wamlilia Abdulkadir | Mwanaspoti

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) na Chama cha Waamuzi wa Soka Tanzania (FRAT) wameonyesha masikitiko yao kutokana na kifo cha aliyekuwa mwamuzi mstaafu na mwenyekiti wa Frat, Omary Abdulkadir. Abdulkadir aliyezikwa leo mchana katika makaburi ya Kisutu, alifariki dunia jana usiku kutokana na maradhi ya figo. TFF imemwelezea Abdulkadir kama miongoni mwa watu waliotoa mchango mkubwa…

Read More

La Liga, Bundesliga, Ligue 1 kurejea leo

  Ligi mbalimbali barani ulaya kuanza kurejea leo baada ya mapumziko ya michuano ya kimataifa ambayo iliendelea wiki mbili nyuma, Ligi kuu nchini Hispania, Ujerumani, na ligi kuu nchini Ufaransa zote zitarejea leo. Vilabu vya Borussia Dortmund, Real Betis, pamoja na klabu ya Lille watashuka dimbani leo kumenyana katika michezo ya ligi yao, Ambapo michezo…

Read More

Sikonge walia upungufu wa watumishi kada ya afya

Sikonge. Serikali imekumbushwa kutoa kibali cha ajira za watumishi katika Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora ili kukabiliana na upungufu wa watumishi 800 unaoikabili wilaya hiyo, hali inayozorotesha maendeleo. Wito huo umetolewa leo, Septemba 13, 2024, na Ofisa Mipango wa Wilaya ya Sikonge, Aidan Frument, wakati wa kikao cha Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Wilaya…

Read More

Namungo, Mgunda suala la muda

KOCHA msaidizi wa Taifa Stars, Juma Mgunda huenda kuna kitu kikatokea baina yake na Namungo, baada ya timu hiyo kurudi tena kuzungumza naye, ili kukinoa kikosi chao, tetesi zikisema ni suala la muda kumfuta kazi, Mwinyi Zahera. Msimu uliopita, Zahera aliisaidia timu hiyo kumaliza nafasi ya sita, ikivuna pointi 36, ingawa alijiunga nayo katikati ya…

Read More

Alikiba azindua rasmi Crown TV, chaneli ya wasanii wote

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Ali Kiba, amezindua rasmi kituo chake cha televisheni, Crown TV, ambacho kitakuwa kinapatikana kupitia Azam TV chaneli namba 415. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo leo, jijini Dar es Salaam, Ali Kiba alibainisha kuwa Crown TV ni jukwaa mahsusi kwa wasanii wa aina zote za sanaa,…

Read More