RC Tanga: Wawekezaji wasiolipa fidia wanyang’anywe ardhi
Tanga. Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Batilda Buriani amewaagiza wakuu wa wilaya kuhakikisha maeneo ya ardhi yaliyotolewa kwa wawekezaji ambao wameshindwa kulipa fidia kwa wananchi yanarudishwa. Agizo hilo amelitoa leo Ijumaa, Septemba 13, 2024 wakati wa kufungua kikao cha Baraza la Biashara la mkoa. Batilda amesema kuwa baadhi ya wawekezaji wamechukua maeneo ya wananchi…