ATCL yapewa ujanja – Mtanzania
Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital Shirika la Ndege Tanzania (ATCL),limeshauriwa kuongeza ununuzi wa ndege ndogo ili kuboresha sekta ya usafiri wa anga nchini. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Wajibu, inayojihusisha na kukuza mazingira ya uwajibikaji wa umma nchini,Ludovic Utoh, leo Septemba 13,2024 wakati akizindua Kitabu cha ATCL Business Model kinazozungumzia Hadithi ya…