Zingatia haya kabla hujamshika mtoto mchanga

Dar es Salaam. Mtoto anapozaliwa ni furaha, hasa katika maisha ya mwanamke pale wakati sahihi unapowadia. Siyo kwa mama na baba pekee bali pia hata wazazi, familia pamoja na jamii inayomzunguka zinapowafikia taarifa za kuzaliwa kwa mtoto akiwa salama yeye pamoja na mama yake. Anaporuhusiwa mama na mtoto kutoka hospitali ndugu, jamaa na marafiki hujawa…

Read More

HESLB na TRA zaungana kusaka wadaiwa mikopo Elimu ya juu

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo (Ijumaa Septemba 12, 2024) imebadilishana Hati za Makubaliano na taasisi ya kimkakati ambayo utekelezaji wake unalenga kubadilishana taarifa ili kuwasaka wadaiwa wa mikopo ya Elimu ya juu. Taasisi hiyo ni Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na Hafla ya kubadilishana hati hizo imefanyika katika ofisi…

Read More

JKT YASAINI MKATABA NA REA KUWEZESHA MRADI WA KUFUNGA MIFUMO YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akishuhudia Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Mhandisi Hassan Saidy, na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Uzalishaji Mali SUMAJKT Brigedia Jenerali Petro Ngata wakionesha mkataba wa ushirikiano wa utekelezaji wa Nishati Safi ya Kupikia mara baada kuusaini. Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la…

Read More

Msyria mbaroni kwa kutaka kuwauwa wanajeshi Ujerumani – DW – 13.09.2024

Waendesha mashtaka wa mjini  Munich wamesema kijana huyo  anayedaiwa kuwa mfuasi wa itikadi kali za kiislamu amekamatwa kwa tuhuma za kupanga tukio baya la vurugu ambazo zingehatarisha usalama. Wameeleza kuwa hivi karibuni mtu huyo alinunua visu vikubwa viwili vyenye urefu wa karibu sentimita arobaini. Kijana huyo anadaiwa kuwa alipanga kufanya tukio hilo katika mji wa Hof Kaskazini…

Read More

Israel yafanya mashambulizi Palestina, Syria na Lebanon – DW – 13.09.2024

Duru za kuaminika zinazofuatilia vita hivyo zimeeleza hivi leo kuwa siku chache zilizopita, vikosi vya Israel vilisafiri kwa helikopta hadi nchini Syria na kufanya mashambulizi yaliyoharibu kituo kinachofahamika kama Hair Abbas chenye handaki la kutengenezea makombora lililojengwa chini ya usimamizi wa Iran. Kituo tofauti cha utafiti wa kisayansi kinachojihusisha na uzalishaji wa silaha kiliharibiwa pia….

Read More