Vyama vya Ushirika vyatajwa kuwa mkombozi Kwa wananchi

Vyama vya Ushirika nchini vimetajwa kuwa mkombozi katika mashirika na taasisi mbalimbali Kwa kuwaunganisha wafanyakazi na Watu wa kada zote na kuwainua kiuchumi . Hayo yamesemwa na CPA Gabriel Msuya Kaimu Meneja Ushauri wa Coasco ambapo amesema licha ya kuwa na changamoto ndogondogo Bado ushirika umekua na mfanikio makubwa nchini. Amesema kutokana na umuhimu huo…

Read More

Mbeya City yatangaza vita mpya

BAADA ya kuvuna pointi nne nyumbani, Mbeya City imesema kwa sasa akili zake ni katika mechi ijayo dhidi ya Mtibwa Sugar itakayopigwa Jumamosi ya Oktoba 5, kwenye Uwanja wa Manungu Complex Morogoro, huku ikiahidi kufanya vizuri msimu huu. Mbeya City iliyoshuka daraja msimu wa 2022-23, ilianza Ligi ya Championship msimu huu kwa sare ya mabao…

Read More

π—‘π—”π—œπ—•π—¨ π—ͺπ—”π—­π—œπ—₯π—œ π—”π—œπ—§π—”π—žπ—” 𝗲-π—šπ—” π—žπ—¨π—œπ— π—”π—₯π—œπ—¦π—›π—” π—¨π—¦π—›π—œπ—₯π—œπ—žπ—œπ—”π—‘π—’ 𝗑𝗔 π—¦π—˜π—žπ—§π—” π—•π—œπ—‘π—”π—™π—¦π—œ

NAIBU Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deus Clement Sangu (Mb), ameitaka Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) kuimarisha ushirikiano na sekta binafsi, ili kuongeza wigo wa ajira kwa vijana wabunifu kwenye eneo la TEHAMA. Mhe. Sangu ametoa rai hiyo hivi karibuni, wakati akifunga programu ya awamu ya tano…

Read More

Kumekucha CDF Trophy 2024 | Mwanaspoti

MSIMU wa tisa wa mashindano ya Gofu ya Mkuu wa Majeshi Tanzania (NMB CDF Trophy 2024) utaanza Ijumaa ya wiki hii, huku wadhamini wakuu, Benki ya NMB ikitangazwa kumwaga Sh35 milioni. Mashindano hayo ya siku tatu yatafanyika kuanzia Oktoba 4-6, kwenye viwanja wa Gofu vya Klabu ya Lugalo, jijini Dar es Salaam ikishirikisha wachezaji mbalimbali…

Read More

Uzoefu waiponza Cosmopolitan | Mwanaspoti

KICHAPO cha mabao 2-0, ilichokipata Cosmopolitan wiki iliyopita dhidi ya Mtibwa Sugar, kimemfanya kocha mkuu wa kikosi hicho, Mohamed Kijuso kudai sababu zilizowanyima ushindi ni wachezaji kukosa uzoefu tofauti na washindani wao. Timu hiyo imekumbana na kichapo hicho cha kwanza msimu huu, baada ya mchezo wa ufunguzi kutoka sare ya bao 1-1, dhidi ya African…

Read More

Hizi hapa mila za ajabu barani Afrika

Je, umewahi kusikia mila ya kuiba mke kwenye sherehe au mila ya kupima urijali wa bwana harusi na mila ya kupigwa ili uoe, hizo ni baadhi ya mila, tamaduni na desturi za kipekee zinazopatikana ndani ya Bara la Afrika. Utamaduni, mila, na desturi za makabila mbalimbali ndani ya Afrika ni hazina inayowasaidia Waafrika kudumisha utambulisho…

Read More

Yafahamu anayopitia mtoto asiyemjua baba

Majuzi nilikutana na Salome (si jina lake halisi) akinielezea masikitiko yake ya kutokumfahamu baba yake. Salome (23), mwanafunzi wa chuo kikuu, ana maumivu makali ya kutafuta kumfahamu baba yake kwa miaka mingi bila mafanikio. Nilitaka kuyaelewa vizuri maumivu yake. Salome anaeleza, β€œNajiona kama mtu mwenye bahati mbaya sana maishani. Ninajisikia kupungukiwa kitu cha muhimu kwenye…

Read More

Rungwe achaguliwa tena uenyekiti Chaumma, asisitiza ubwabwa

Dar es Salaam. Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma), wamemchagua Hashimu Rungwe kuendelea kuwa Mwenyekiti wa chama hicho kwa muhula wa tatu mfululizo. Mkutano huo umefanyika Jumamosi, Septemba 28, 2024 jijini Dar es Salaam, miongoni mwa waliohudhuria ni pamoja naΒ  Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza. Mwenyekiti wa…

Read More

Zifahamu ndoa za sogea tuishi, mikasa yake

Unazijua ndoa za sogea tuishi.Ndoa hizi ziko hivi, yoyote kati ya mwanamke au mwanaume anahamia kwa mwenzie na kuanza kuishi kinyumba bila kufuata taratibu za kisheria au kidini za ndoa. Wapo wanaoishi miaka hadi 20 majirani zao wakijua ni mke na mume, wanazaa watoto na wengine kupata hadi wajukuu bila kufunga ndoa halali inayotambulika. Baadhi…

Read More