Ugonjwa wa asubuhi ‘morning sickness’ uko hivi
Katika maisha ya kila siku kwa upande wa kinamama katika huduma za afya ni kawaida kuwahi kukutana na neno la kingereza ‘morning sickness’ kwa Kiswahili ugonjwa wa asubuhi. Ni hali ambayo huwa ni kawaida kuwapata kinamama wajawazito wakati mimba iliyotungwa ikiwa change, yaani kwenye muhula wa kwanza katika wiki ya sita tangu mimba kutungwa. Ugonjwa…