MWASISI WA MAANDAMANO CHADEMA AFUNGUKA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Katika mahojiano ya kipekee na kipindi cha SupaBreakfast, Wilfred Lwakatare, kada mkongwe wa chama cha wananchi CUF, amefunguka kuhusu uzoefu wake wa kisiasa na mabadiliko aliyopitia katika vyama vya siasa nchini Tanzania. Lwakatare, ambaye amejipatia umaarufu mkubwa kwa mchango wake katika siasa za upinzani, alieleza jinsi alivyokumbana na changamoto na mabadiliko ya vyama. Lwakatare alianza…

Read More

CCM YAPUUZA KAMPENI ZA ‘SAMIA MUST GO’ ZILIZOANDALIWA NA VIJANA WA CHADEMA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, ameweka wazi msimamo wa chama chake kuhusu kampeni mpya inayoratibiwa na vijana wa CHADEMA (BAVICHA) yenye kauli mbiu “Samia Must Go”. Akizungumza leo kwenye mkutano na wahariri na waandishi wa habari waandamizi uliofanyika katika ofisi ndogo za CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam, Dkt….

Read More

Jeshi la Polisi lapiga marufuku maandamo ya Chadema

  JESHI la Polisi Tanzania limepiga marufuku maandamano yaliyopangwa kufanyika tarehe 23 Septemba, 2024 na Chama cha Demokrasia na Maemdeleo (CHADEMA). Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro … (endelea). Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, DCP David Misime amesema kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii walisikia viongozi wa Chadema wakihamasisha wananchi wa jiji la Dar…

Read More

Polisi ya Tanzania yazuia maandamano ya CHADEMA – DW – 13.09.2024

CHADEMA aidha, imeipa serikali hadi tarehe 21 mwezi huu kuhakikisha kuwa viongozi na wanachama wake kinaodai wametekwa na kupotezwa wawe wamepatikana au vyenginevyo watachukua hatua.  Zuio hili linatolewa siku chache baada ya CHADEMA kutangaza kuwa kitafanya maandamano nchi nzima Septemba 23 ili kuishinikiza serikali kueleza hatua iliyofikiwa kuhusu matukio ya watu kutekwa na kuuawa. Soma pia:Chadema: Maandamano…

Read More

Rais wa Senegal Avunja Bunge, Aandaa Uchaguzi wa Marudio – MWANAHARAKATI MZALENDO

Rais wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, ametangaza kuvunjwa kwa bunge linaloongozwa na upinzani, hatua ambayo inaweka njia kwa uchaguzi wa marudio ambao utafanyika baadaye mwaka huu. Rais Diomaye, aliyechaguliwa miezi sita iliyopita, alitangaza uamuzi huo kupitia televisheni ya Taifa, akisema ana imani kuwa wabunge wa chama chake watashinda katika uchaguzi ujao. Katika hotuba yake ya…

Read More

Rais wa Senegal atangaza kulivunja bunge – DW – 13.09.2024

Ametoa taarifa hiyo kiwa ni miezi sita baada ya kuingia madarakani. Alitoa tangazo hilo Alhamisi jioni wakati alipohutubia taifa kwa njia ya televisheni na kuwasihi wananchi wakipigie kura cha chake ili aweze kufanya mabadiliko ya kimfumo aliyoyaahidi. Katika hotuba hiyo Faye alisema, ahadi ya ushirikiano na bunge lenye idadi kubwa ya upinzani imekuwa sawa na ndoto. Ameeleza kwamba…

Read More

VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA MSIINGILIE MCHAKATO WA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA – JAJI MSTAAFU MBAROUK

Na Gideon Gregory, Dodoma. Makamu Mwenyekiti wa Tume huru ya taifa ya uchaguzi Jaji Mstaafu Mahakama ya Rufaa Mbarouk Salim Mbarouk amewasisitiza mawakala na viongozi wa vyana vya siasa kutokuingilia mchakato wa uboreshaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura kituoni. Jaji Mstaafu Mbarouk ameyasema hayo leo Septemba 13,2024 Jijini Dodoma wakati akifungua Mkutano wa…

Read More