Dk. Mpango azindua huduma ya upandikizaji mimba Muhimbili

  MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amehimiza uwekezaji uliofanyika katika Hospitali ya Taifa Muhimbili wa Upandikizaji Mimba pamoja na uwashaji wa vifaa vya kusaidia kusikia kwa watu wenye changamoto ya kusikia kuwa endelevu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Makamu wa Rais ametoa wito huo wakati…

Read More

Polisi Yapiga Marufuku Maandamano Yaliyopangwa na CHADEMA – MWANAHARAKATI MZALENDO

Jeshi la Polisi Tanzania limepiga marufuku maandamano yaliyotangazwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyopangwa kufanyika tarehe 23 Septemba 2024 katika jiji la Dar es Salaam na maeneo mengine nchini. Kupitia taarifa iliyotolewa na msemaji wa Jeshi la Polisi, David A. Misime, Polisi imeeleza kuwa viongozi wa CHADEMA walitumia mitandao ya kijamii mnamo Septemba…

Read More

TBS YATOA ELIMU MAONESHO YA SABA YA MIFUKO NA PROGRAMU ZA UWEZESHAJI WANANCHI KIUCHUMI SINGIDA

SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limeendela kutoa elimu ya ubora wa bidhaa katika Maonesho ya saba ya Mifuko na Programu za uwezeshaji wananchi kiuchumi yaliyofanyika katika viwanja vya Bombadier mkoani Singida. Akizungumza katika Maonesho hayo ambayo yameanza Septemba 8,2024 na kumalizika Septemba 14, 2024, Afisa mtoa elimu, Sileja Lushibika amesema TBS imeshiriki na kutoa elimu…

Read More

Tanzania kutengeneza mkakati wa muda mrefu wa kaboni

  WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dk. Ashatu Kijaji amesema Tanzania iko katika hatua za awali za kutengeneza mkakati wa muda mrefu wa kaboni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Amesema hayo wakati alipokutana na mabalozi wanaoziwakilisha nchi nne nchini ofisini kwake jijini Dar es Salaam kwa…

Read More

Mafuriko Makali Nchini Nigeria Yanakuza Mgogoro Mkubwa wa Kibinadamu – Masuala ya Ulimwenguni

Kijiji kimoja nchini Nigeria ambacho kimefurika kutokana na kuporomoka kwa bwawa la Alau huko Maiduguri. Credit: Esty Sutyoko/OCHA na Oritro Karim (umoja wa mataifa) Ijumaa, Septemba 13, 2024 Inter Press Service UMOJA WA MATAIFA, Septemba 13 (IPS) – Siku ya Jumatatu, bwawa la Alau huko Maiduguri, Jimbo la Borno, liliporomoka, na kusababisha mafuriko makubwa kuharibu…

Read More