TIB BENKI YAPONGEZWA KWA KUTOA HUDUMA NZURI MAONESHO YA AFRIKA MASHARIKI
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mheshimiwa Dkt. Selemani Saidi Jafo, ameipongeza Benki ya maendeleo TIB kwa kuibuka mshindi wa pili katika kipengele cha Watoa Huduma za Kibiashara kwenye Maonesho ya 19 ya Biashara ya Afrika Mashariki yanayoendelea kwenye Viwanja vya Furahisha Jijini Mwanza. Maonesho hayo yenye kauli mbiu “Uboreshaji wa mazingira ya uwekezaji na…