Biden, Starmer kujadili silaha za masafa marefu kwa Ukraine – DW – 13.09.2024

Kyiv inazishinikiza Washington na London kuondoa kizuizi kuhusu matumizi ya silaha zilizotengenezwa na mataifa hayo mawili kushambulia ndani kabisaa ya Urusi, huku Rais wa Urusi Vladimir Putin akionya kwamba kuipatia Ukraine ruhusa kama hiyo kutamaanisha NATO “iko vitani” na Moscow. Vyombo vya habari vya Uingereza viliripoti kuwa Biden, ambaye anahofia kuchochea mzozo wa nyuklia, alikuwa…

Read More

Mzungu Michael Chain alivyoibua jina Mikocheni

Unadhani utohoaji wa maneno ya kigeni hasa yale ya lugha ya Kiingereza hufanywa kwenye msamiati wa  pekee? Watanzania wameenda mbali ya utohozi wa msamiati. Kuna maeneo kadhaa nchini, majina yake yana asili ya maneno ya Kiingereza. Hapa tutaangazia baadhi ya maeneo hayo ambayo majina yake yametoholewa kutoka katika Kiingereza. Hujafika Jiji kuu la Dar es…

Read More

Jeuri ya Simba CAFCC ipo hapa

WACHEZAJI wa Simba wanafahamu hesabu zilizopo kwao hivi sasa ni kuanza vizuri ugenini dhidi ya Al Ahli Tripoli ya Libya kisha kumaliza kazi nyumbani na kutinga makundi. Jeuri kubwa waliyonayo Simba ni maboresho ya kikosi chao ambacho msimu huu kimeanza ligi kwa ushindi wa asilimia 100 kutokana na kukusanya pointi sita katika mechi mbili walizocheza…

Read More

Guterres alaani kifo cha wafanyikazi 6 wa UNRWA na wengine 12 katika mgomo wa Israeli, ataka uchunguzi huru – Masuala ya Ulimwenguni

Katika taarifa iliyotolewa kupitia Msemaji wake, Katibu Mkuu Antonio Guterres amelaani shambulio la hivi punde la Israel dhidi ya shule inayotumika kama makazi huko Nuseirat siku ya Jumatano, ambalo liliua wafanyikazi sita wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi wa Palestina. UNRWApamoja na angalau wengine 12wakiwemo wanawake na watoto. “Tukio hili linaongeza idadi…

Read More

Dube, Pacome wamtisha kocha CBE

WAKATI Yanga ipo tayari katika ardhi ya Ethiopia kwa mechi ya mkondo wa kwanza ya raundi ya pili ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kocha wa wenyeji ameibuka na mambo matatu mazito aliyoyasoma kwa kikosi hicho cha Jangwani. Kocha Sisay Kebede Kumbe wa CBE SA ya Ethiopia itakayokutana na Yanga kesho Jumamosi kwenye Uwanja wa Abebe…

Read More

UEFA Nations League inaendelea kukupa mkwanja leo

  Michuano ya Uefa Nations League leo inaendelea barani ulaya na michezo mbalimbali itakwenda kupigwa, Ambapo michezo hii inaweza kukupa fursa ya kunyakua kitita cha kutosha kutoka Meridianbet. Mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet wamehakikisha hulali njaa kwani kupitia michezo ya Uefa Nations League wamemwaga Odds za kutosha, Hivo wewe mteja wao unapaswa kuweka mkeka…

Read More

Cristiano Ronaldo afikisha mechi 1,230 mabao 901

  Mwamba kabisa kipenzi cha watu wengi, anajua kufunga na kushangilia muite Cristiano Ronaldo CR7 Mnyama, moja kati ya mshambuliaji hatari Zaidi kuwahi kutokea tangu dunia inazishwe. Naam!! Jamaa amecheza jumla ya mechi 1230 zenye ushindani, na amefunga jumla ya mabao 901 akiendelea kuisaka rekodi anayodhamiria kuiweka ya mabao 1000 yenye ushahidi wa video. Unaweza…

Read More

Shuti la Fei Toto Lamtingisha kipa Simba

KIPA wa Simba, Moussa Camara ‘Spider’ alikuwa katika benchi wakati taifa lake la Guinea likiachia pointi tatu mbele ya Taifa Stars, lakini akaondoka na lile shuti la kiungo wa timu hiyo, Feisal Salum ‘Fei Toto’ ambalo lilizaa bao la kusawazishia kabla ya Mudathir Yahya kufunga la ushindi kwa Tanzania. Fei Toto alifunga bao hilo kwa…

Read More