Saudi Arabia yarejesha tabasamu kwa watoto 30 wenye matatizo ya moyo
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Watoto 30 kutoka maeneo mbalimbali nchini wamefanyiwa upasuaji mkubwa wa moyo katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) huku Sh milioni 700 zikiokolewa. Upasuaji huo umefanywa kupitia kambi maalumu ya siku 10 ya uchunguzi na upasuaji wa moyo iliyofanywa kwa ushirikiano na JKCI na madaktari kutoka Kituo cha Mfalme…