ZAIDI YA BILIONI 19 KUTEKELEZA MRADI WA UMEME VITONGOJINI MWANZA
MKUU wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda amemshukuru Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa zaidi ya shilingi Bilioni 19 kwa ajili ya kutekeleza Mradi wa Umeme kwenye vitongoji 135 Mkoani humo katika majimbo yote tisa. Ametoa pongezi hizo leo Septemba 12, 2024 ofisini kwake wakati akizungumza na Ujumbe wa wakala wa Nishati…