Gamondi amaliza utata kwa Baleke

KIKOSI cha Yanga kinatarajiwa kushuka uwanjani usiku wa leo kukabiliana na KMC, huku kocha mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi akimaliza utata kwa kutoa sababu zinazomfanya mshambuliaji mpya, Jean Baleke aliyeibua maswali kwa mashabiki na wapenzi wa klabu hiyo kwa kutoonekana uwanjani. Baleke alisajiliwa na Yanga msimu huu akitokea Al Ittihad ya Libya alikocheza kwa…

Read More

Fadlu aongea neno zito mastaa wa Simba

KOCHA wa Simba, Fadlu Davids jioni ya leo anajiandaa kuiongoza tena timu hiyo kwa mara ya nane katika mechi za mashindano kwa msimu huu tangu alipolamba ajira kuchukua nafasi ya Abdelhak Benchika, huku akisema jambo muhimu kuhusu mastaa wa timu hiyo. Kocha huyo ameiongoza Simba katika mechi tatu za Ligi Kuu ikishinda zote na kutoruhusu…

Read More

Eto’o: Tanzania inastahili nne CAF

RAIS wa Shirikisho la Soka la Cameroon (Fecafoot), Samuel Eto’o ambaye pia  ni nyota wa zamani wa Barcelona, Chelsea na Inter Milan, ameeleza umuhimu wa kuboresha nafasi za timu za Afrika katika mashindano ya kimataifa, huku akisema Tanzania inastahili kuwakilishwa na klabu nne CAF. Eto’o anasisitiza Tanzania na mataifa mengine yenye ligi imara yanapaswa kuwa…

Read More

Sunday Spesho ya Ligi Kuu Bara 2024/25

HII ni siku spesho. Ndio, ni Sunday Spesho kwelikweli. Kwani kama wewe ni shabiki wa soka, basi leo hupaswi kuchezea rimoti kabisa. Yaani ukikaa mbele ya runinga leo hubanduki kitini hadi kesho Jumatatu. Yes, na kama wewe ni mtu wa kucheki soka katika kibanda umiza, fanya chapu uage kabisa mapema, kwani ukiingia kibandani mchana, basi…

Read More

Ziara ya SADC Live Your Dream maandalizi yafikia pazuri

Wakati siku zikiyoyoma za kuelekea kwenye Ziara ya Barabarani inayodhamiria kuonesha ndoto za wengi zenye mitazamo chanya yenye kuleta utofauti kwenye jamii mengi yatarajiwa huku maandalizi yakitajwa kukamilika hivi karibuni Ziara ya Barabara ya SADC Live Your Dream ni tukio muhimu ambalo litalenga kukuza ubadilishanaji wa utamaduni, kujieleza kwa nia ya sanaa, Utalii wa SADC…

Read More

Abiria watajwa kuchochea ajali za barabarani

Iringa. Jeshi la Polisi nchini limewaonya abiria wanaochochea madereva wa vyombo vya usafiri kuwa na mwendo usio salama, kwani huo ndio mwanzo wa kutokea ajali. Kauli hiyo imetolewa leo Septemba 28, 2024 na Mkuu wa Kitengo cha Elimu ya Usalama Barabarani nchini, Michael Deleli wakati akizungumza katika maadhimisho ya miaka 10 ya Baraza la Usalama…

Read More

Zungu: Jamii ijitenge na taarifa zisizo sahihi

Dar es Salaam.  Jamii imeaswa kutofungama na makundi ya watu yenye lengo la kubomoa umoja uliojengeka baina yao kwa kusambaza taarifa zisizo sahihi na kuibua chuki na taharuki. Wito huo umetolewa leo Septemba 28, 2024 jijini Dar es Salaam na Naibu Spika wa Bunge, Mussa Zungu katika siku ya pili ya mkutano wa 53 wa…

Read More