Rais wa Guinea Bissau atangaza kutogombea muhula wa pili – DW – 12.09.2024
Angela Mdungu 12.09.202412 Septemba 2024 Rais wa Guinea Bissau Umaro Cissoko Embalo ametangaza hivi leo kuwa hatowania muhula wa pili katika uchaguzi wa Novemba. Embalo, mwenye umri wa miaka 51, alichaguliwa Januari 2020 akimrithi rais Jose Mario Vaz. https://p.dw.com/p/4kYk8 Rais wa Guinea Bissau Umaro Cissoko Embalo.Picha: Alexei Maishev/TASS/dpa/picture alliance Alimshinda Domingos Simoes Pereira akiwa na…