
CCM, ACT- Wazalendo waliamsha Pemba
Unguja. Siku moja baada ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kudai mwanachama wake mpya kuvamiwa na mali zake kuchomwa moto, ACT-Wazalendo kimeibuka kikieleza madai hayo ni mbinu chafu za kutengenezwa. Septemba 11, 2024 CCM ilidai mwanachama wake Salum Mohamed Juma, aliyedaiwa kujiunga nacho akitokea ACT-Wazalendo, mali zake zilichomwa moto usiku wa kuamkia Septemba 10, 2024 katika…