Marekani yaunga mkono viti viwili vya kudumu vya Afrika UN – DW – 12.09.2024

Balozi wa Marekani katika Umoja wa Mataifa, Linda Thomas-Greenfield, anatarajiwa kuutangaza uamuzi huo Alhamisi. Hatua hiyo inachukuliwa wakati ambapo Marekani inajaribu kurekebisha uhusiano wake na Afrika, ambako wengi hawajafurahishwa na suala la Marekani kuunga mkono vita vya Israel huko Gaza, na kuimarisha uhusiano na mataifa ya Visiwa vya Pasifiki, ikiwa ni muhimu katika kukabiliana na…

Read More

Kipenye, Mkomola wapagawisha Songea Utd

SONGEA United imeendelea kujifua kujiweka fiti, huku baadhi ya mastaa wakitoa matumaini kwa mashabiki kuhakikisha Mkoa wa Ruvuma unarejesha heshima kwa kupata timu ya Ligi Kuu. Timu hiyo ambayo ilifahamika kama FGA Talents, kwa sasa imeweka maskani mjini Songea na inatarajiwa kushiriki Ligi ya Championship msimu ujao itakayoanza mwishoni mwa mwezi huu kusaka kutinga Ligi…

Read More

Wakili Chadema: Mnyika ameitwa Polisi Kinondoni

Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika ametakiwa kuripoti Kituo cha Polisi Oysterbay Dar es Salaam kwa ajili ya mahojiano, Wakili wa chama hicho amethibitisha. Akizungumza na Mwananchi Digital leo Septemba 12, 2024 Wakili wa Chadema, Hekima Mwasipu amesema kiongozi huyo ameitwa na Ofisa Upelelezi wa Mkoa (RCO) wa kipolisi wa Kinondoni, japo…

Read More

Sare yaipeleka KVZ kileleni ZPL

MAAFANDE wa KVZ juzi jioni walilazimishwa suluhu na wageni wa Ligi Kuu Zanzibar (ZPL), Tekeleza FC ya kisiwani hapa na kukwea hadi kileleni mwa msimamo ikiwaengua watetezi, JKU. Tekeleza iliyopanda daraja msimu huu sambamba na Junguni pia ya Pemba na Muembe Makundi na Inter Zanzibar za visiwani Unguja, pointi moja iliyovuna katika mchezo huo uliopigwa…

Read More

RC Chalamila amgusa Kiboko ya Wachawi

Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Albert Chalamila ameonya kuhusu uanzishwaji holela wa vituo vya kupandikiza mimba kwa wanawake akisisitiza Wizara ya Afya inapaswa kuvidhibiti kuepuka wananchi kutapeliwa akitolea mfano huduma ya Kanisa la Christian Life Church. Kanisa hilo lilikuwa likiongozwa na Mchungaji Domique Kashoix Dibwe, maarufu Kiboko ya Wachawi,…

Read More

Mke asimulia dakika za mwisho za Gidabuday

“NILIPIGIWA simu na mtu ambaye aligoma kujitambulisha ni nani, na hadi leo sijamfahamu akaniambia mume wangu amegongwa na gari amefariki,” anaanza kusimulia Eva Baltazar, mke wa katibu mkuu mstaafu wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT), Wilhelim Gidabuday. Gidabuday alifariki alfajiri ya kuamkia Septemba 10, baada ya kugongwa na gari eneo la Maji ya Chai, Arusha…

Read More

Maelekezo matano ya Waziri Mkuu kuimarisha uwekezaji Tanzania

Dar es Salaam. Katika kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini Tanzania, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameelekeza taasisi pamoja na mamlaka za serikali za mitaa ziharakishe marekebisho ya taratibu na sheria zinazochangia urahisi wa kufanya biashara. Amesema zihakikishe sheria mpya zinawezesha mazingira bora ya biashara na uwekezaji kila eneo huku likienda sambamba na kuweka kipaumbele katika kutoa…

Read More