Uwepo wa SGR unaashiria utoshelevu wa umeme nchini

Imeelezwa kuwa, uwepo wa reli ya kisasa na ya kwanza Afrika Mashariki na kati inayoendeshwa kwa nishati ya umeme (SGR) na yenye mwendo kasi usiopungua kilometa 160 kwa saa ni kiashiria kuwa nchi ina umeme wa kutosha. Hayo yameelezwa leo tarehe 12 Septemba, 2024 na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto…

Read More

Mkuyu ulionyongea watu sasa unatoa digrii

Mji wa Dodoma una historia ya kuvutia kuanzia chimbuko la jina lenyewe hadi simulizi za mti uitwao mkuyu uliotumika kunyongea watu na kuwazika. Kuna uhusiano mkubwa wa asili ya neno Dodoma na mahala ulipo mti huo ambao kwa sasa kuna Chuo kikuu cha St John, zamani sekondari ya Mazengo. Eneo hilo linajulikana kwa jina la…

Read More

Fadlu kuisapraizi Al Ahli Tripoli

WAKATI Simba ikiwa njiani kwenda Libya kuvaana na Al Ahli Tripoli, kocha wa Wekundu hao, Fadlu Davids amefunguka jinsi alivyopangwa kuwasapraizi wenyeji wao katika mechi hiyo ya mkondo wa kwanza ya raundi ya pili ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa mbinu atakazowapa mastaa wa kikosi hicho. Simba iliyoapangwa kuanzia raundi hiyo ya pili itakuwa wageni…

Read More

Job asimulia mazito Ivory Coast

BEKI wa Taifa Stars, Dickson Job amesimulia mazito juu ya majeraha yake wakati alipotolewa kwenye mchezo wa timu hiyo dhidi ya Guinea, huku akiwatoa hofu mashabiki wa Yanga anayoitumikia. Job aliumia dakika ya tisa ya mchezo huo baada ya kugongana na kiungo wa Guinea na kulazimika kutolewa dakika ya 11 nafasi yake ikichukuliwa na Bakari…

Read More

JWTZ WAPEWA MBINU NA MAKOCHA KUTOKA UHOLANZI

Na Khadija Kalili Michuzi Tv  MKUU  wa Majeshi nchini Jenerali Jacob Mkunda (CDF) kupitia uratibu wa Baraza la Michezo la Majeshi ya Ulinzi Dunia Conseil International du Sports Military imewaleta  wakufunzi na wataalamu kutoa mafunzo kwa  makocha nchini  ikiwa na  lengo la kuwaaendeleza Maafisa  wa Jeshi   na Askari wenye taaluma ya michezo.  “Mafunzo haya yataimarisha…

Read More