WAZIRI JAFO: WIZI WA KUCHEZEA VIPIMO NI KOSA KISHERIA

Na WMA, Mwanza WAZIRI  wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo amehimiza wananchi jijini Mwanza kuzingatia matumizi sahihi ya vipimo kila mara wanapofanya manunuzi na kuuza bidhaa mbalimbali. Aliyasema hayo Septemba 11, 2024 wakati akifungua rasmi Maonesho ya 19 ya Biashara ya Afrika Mashariki yanayofanyika katika Uwanja wa Furahisha jijini Mwanza. “Wizi wa kuchezea vipimo…

Read More

WIZARA YA FEDHA YAKEMEA MIKOPO HOLELA YA MITAANI INAYODHALILISHA WATANZANIA

Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha WIZARA ya fedha imetoa rai kwa Watanzania hususan makundi ya akinamama na wajasiriamali kujiepusha na mikopo ya udhalilishaji isiyo rasmi na badala yake watumie Taasisi zilizosajiliwa na kutambulika ili kulinda fedha zao. Aidha imekemea Taasisi zinazotoa huduma za mikopo ambazo hazijasajiliwa kufuata sheria za usajili na kupata leseni ili kuondoa migongano isiyo…

Read More

Wizara ya afya nchini itaendelea kuboresha huduma za afya kwa Watanzania ili kuifikia dhamira ya serikali -Mhagama

Waziri wa afya,Jenista Mhagama amesema Wizara ya afya nchini itaendelea kuboresha huduma za afya kwa Watanzania ili kuifikia dhamira ya serikali ya kuhakikisha kila mwananchi ananufaika na kupata huduma bora ikiwemo matumizi ya Bima ya afya kwa wote. Waziri Mhagama amesema hayo alipofanya ziara yake katika taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), jijini Dar…

Read More

WANAHARAKATI- ELIMU ITOLEWE YAKUTOSHA KUTOKOMEZA MILA ZINAZOMKANDAMIZA MWANAMKE KWENYE JAMII

NA EMMANUEL MBATILO,MICHUZI TV KATIKA Semina za Jinsia na Maendeleo (GDSS) zilizofanyika Septemba 11, 2024, wanaharakati wa jinsia walisisitiza umuhimu wa elimu katika kupambana na mila potofu zinazokandamiza haki za wanawake. Akizungumza katika GDSS, Elizabeth Kiteleko, mwanaharakati kutoka Manzese, alisisitiza kwamba baadhi ya mila potofu bado zinakandamiza haki za wanawake, alitolea mfano mila zinazohusiana na…

Read More

MABORESHO YALIYOFANYWA NA SERIKALI KATIKA MADARASA YA AWALI YATASAIDIA WATOTO KUPENDA KUSOMA- DUGANGE

Na Patricia Kimelemeta NAIBU Waziri Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Dk.Festo Dugange anasema kuwa maboresho yaliyofanywa na Serikali kwenye madarasa ya awali yatasaidia watoto kupenda kusoma na kujifunza. Maboresho hayo ni pamoja na kutengwa kwa bajeti kwa ajili ya utekelezaji wa programu hiyo ambapo fedha hizo zinatumika kujenga madarasa,…

Read More