Raia wa kigeni waangukia mikononi mwa Polisi wadaiwa kutaka kumuibia mfanyabiashara aliyetoka benk
Watu wawili ambao ni raia wa kigeni wamekamatwa na Polisi mkoani Njombe kwa tuhuma ya kutaka kumuibia Mtanzania aliyekuwa akitoka benki mjini Makambako. Akizungumza na vyombo vya habari Kaimu kamanda wa Polisi mkoa wa Njombe Ally Kitumbu amesema Raia hao wa kigeni wamefahamika kwa majina ya Ommary Keny (40) pamoja na Hamphrey Jailo (22) bila…