
Upatikanaji maji Mwanza bado changamoto
Mikoani. Takwimu za Sensa ya Majengo ya Mwaka 2022 zinaonyesha asilimia 24.9 ya majengo milioni 13.9 (13,907,951) ya Tanzania Bara yana huduma ya maji, huku hali ikiwa tofauti kwa majengo milioni 10. Kwa mujibu wa sensa hiyo, huduma ya maji katika jengo inahusisha uwepo wa maji ndani ya jengo au kwenye kiwanja cha jengo husika….