Sarafu mtandao zawaingiza matatani walimu wanne, mfanyabiashara

Dodoma. Walimu wanne na mfanyabiashara mmoja wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuwatapeli wananchi kwa kuwadanganya kuwekeza katika sarafu za kimtandao (cryptocurrency), kisha kutoweka na fedha walizowekeza. Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime, ametoa taarifa leo Septemba 11, akieleza kuwa watuhumiwa walikamatwa Septemba 7, 2024, katika Hoteli ya Gold Crest jijini Mwanza kufuatia malalamiko…

Read More

Wawili wapoteza maisha vurugu baina ya wananchi na Polisi

Geita. Watu wawili akiwemo mwanafunzi wa kidato cha nne wamepoteza maisha baada ya kudaiwa kuvamia kituo cha polisi Lulembela wakitaka kuwadhuru watu waliodaiwa kuwa wezi wa watoto. Taarifa iliyowekwa na Msemaji wa Jeshi la Polisi usiku huu, David Misime, inasema vurugu hizo zimetokea leo Jumatano Septembe 11, 2024 Saa 8:30 mchana huko Lulembelea Wilayani Mbogwe…

Read More

UNHCR yazindua ombi la dola milioni 21.4 kusaidia wakimbizi katika nchi za Afrika – Global Issues

The ufadhili itasaidia mwitikio muhimu na jitihada za kuzuia kwa wakimbizi milioni 9.9 na jumuiya zinazowahifadhi katika nchi 35 katika bara zima. Mpox, ambayo zamani ilijulikana kama monkeypox, ni ugonjwa wa virusi ambao unaweza kuambukizwa kwa kuwasiliana kimwili na mtu aliyeambukizwa, mnyama au vitu vilivyoambukizwa. Soma mfafanuzi wetu hapa. Aina mpya ya virusi Ugonjwa huo…

Read More

Uchaguzi serikali za mitaa: Zingatia sifa hizi kumpata kiongozi bora

Dar es Salaam. Wadau wa siasa nchini Tanzania wametaja sifa ambazo wananchi wanazopaswa kuzingatia wanapowachagua viongozi wa serikali za mitaa, ikiwemo kuwapata wale watakarudisha madaraka kwa wananchi. Wadau hao wamesema uchaguzi wa serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024 ni muhimu lakini haupewi uzito mkubwa huku wakisisitiza kiongozi anayepatikana kwa kura za wananchi ndiye atakayewatumikia…

Read More

ASAC YATOA ELIMU KWA WADAU MBALIMBALI WILAYANI UKEREWE

  Na Mwandishi Wetu , Michuzi TV Ukerewe Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) leo tarehe 10.9.2024, limetoa elimu ya ulinzi, usalama na utunzaji wa mzingira ya usafiri majini kwa wadau mbalimbali wa usafiri majini katika Kisiwa cha Ukara, wilayani Ukerewe.  Elimu hiyo imehusisha wadau mbalimbali ikiwa ni pamoja na wasafiri na wasafirishaji, wamiliki…

Read More

Waziri Mhagama ajitwisha zigo bima ya afya kwa wote

Na Nora Damian, Mtanzania Digital Waziri wa Afya, Jenister Mhagama amesema atahakikisha mchakato wa uanzishwaji Bima ya Afya kwa Wote unakamilika haraka kwa sababu magonjwa hayasubiri na hilo ndilo jukumu kubwa alilopewa. Waziri Mhagama ameyasema hayo leo Septemba 11,2024 baada ya kutembelea Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) na Taasisi ya Tiba ya Mifupa,…

Read More

Utafiti mpya kubaini ujuzi, mahitaji ya soko la ajira

Unguja. Ili kufahamu hali ya soko la ajira, upungufu wa ujuzi unaohitajika siku za baadaye Serikali inakusudia kufanya utafiti maalumu kupitia mradi wa Sebep. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi, Uchumi na Uwekezaji, Shariff Ali Shariff amesema hayo alipojibu swali la mwakilishi wa Mwanakwerekwe, Ameir Abdalla Ameir katika mkutano wa Baraza la Wawakilishi. Akijenga…

Read More