
HESLB na Taasisi tatu zaungana kuwasaka wadaiwa wa mikopo ya elimu ya juu
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imeanzisha ushirikiano na taasisi tatu za kimkakati katika juhudi za kuwasaka wadaiwa wa mikopo ya elimu ya juu. Taasisi hizo ni Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), na CREDITINFO Tanzania Ltd, ambayo inahusika…