‘Gari la Serikali likikugonga unalipwa fidia’

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani nchini Tanzania limebainisha changamoto kubwa inayowakumba wananchi kwa kutokujua haki zao wanapopata ajali zinazohusisha magari ya Serikali. Licha ya magari hayo kutokuwa na bima, limesema fidia hutolewa kwa waathirika wa ajali hizo. Hayo yameelezwa leo, Jumatano, Septemba 11, 2024 na Mrakibu Mwandamizi wa Polisi, Deus…

Read More

RMO MIRERANI AWATAKA WACHIMBAJI KUWEKA MATENKI YA MAJI

Na Mwandishi wetu, Mirerani  AFISA madini mkazi (RMO) Mirerani Nchagwa Chacha Marwa amewapa miezi miwili wamiliki wa migodi ya madini ya Tanzanite mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro mkoani Manyara, kuhakikisha kila mgodi unakuwa na matenki ya maji ili kuepuka maradhi ya vifua kwa wachimbaji. RMO Nchagwa ameyasema hayo wakati akizungumza na wachimbaji wa madini…

Read More

Rais Samia aipa Serengeti Girls milioni 30

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ametoa kiasi cha Million 30 kwa timu Taifa ya wasichana ‘Serengeti Girls’, baada ya kutwaa ubingwa wa Mashindano ya Mpira wa Miguu kwa nchi za Kaskazini mwa Afrika (UNAF U-17) katika mashindano yaliyofanyika nchini Tunisia 2024. Akikabidhi kitika hicho…

Read More

Mapokezi yanayowasubiri wahitimu darasa la saba mtaani

Dar es Salaam. Wakati wazazi wakianza kuangalia sehemu ambazo watoto wao watakwenda kusoma masomo ya kujiandaa na elimu ya sekondari watakapomaliza mitihani ya darasa la saba kesho Septemba 12, 2024 wadau wa elimu wameeleza faida na hasara za kufanya hivyo. Baadhi wamesema elimu hiyo itamfanya mtoto kujua namna ya kukabiliana na masomo ya sekondari, wengine…

Read More

Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Mweli Ashiriki Mkutano wa 138 wa Baraza la Kahawa Duniani

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Bw. Gerald Mweli ameshiriki katika Mkutano wa 138 wa Baraza la Kahawa Duniani (International Coffee Council) unaofanyika jijini London kuanzia tarehe 10-12 Septemba 2024. Katika mkutano huo, Viongozi wa nchi mbalimbali wanajadili masuala yanayolenga kuboresha tasnia ya kahawa kimataifa, ikiwemo mikakati ya kukabiliana na changamoto zinazokabili tasnia hiyo. Aidha,…

Read More

Watetezi haki za binadamu wataka tume huru kifo cha Kibao

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umeiomba Serikali kuunda tume huru ya kiraia itakayochunguza matukio yote yanayohusisha kutekwa na kupotea kwa watu mbalimbali nchini ili kumaliza changamoto hiyo. Mtandao huo pia umependekeza kuridhiwa kwa mikataba miwili ambayo imejikita katika kupambana na matukio hayo yaani ule unaopambana…

Read More

Rufaa yamwachia huru aliyefungwa miaka 30 kwa kumbaka mwanaye

Arusha. Mahakama Kuu masijala ya Iringa imemuachia huru baba aliyehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa madai ya kumbaka mtoto wake, ikieleza ushahidi dhidi yake haukuthibitisha shtaka bila shaka. Katika utetezi wake alioutoa katika mahakama ya chini, baba huyo alidai kesi iliyokuwa ikimkabili ilikuwa ni njama kwa vile hakuwa amelipa mahari kwa wakwe zake. Mkazi…

Read More